Skip to main content
Msimu wa watoto kurudi shuleni umefika. Zingatia kanuni za Barabara. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Abiria pia wanahaki ya kusafiri salama. Wasikilize and "Slow down!".Speed kills. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Kuwa makini kwenye sehemu zilizotengwa kama school zones. Punguza speed. #DriverSmart #UsalamaBarabarani
Smart driver ni mwenye anatambua speed limits ili kuokoa maisha . #DereSmart #UsalamaBarabarani
Speeding can push everything to its limit, including your safety Slow down and stay alive.#DereSmart#UsalamaBarabarani
Ni back to school season na abiria ni wengi sana.Wabebe bila kuhatarisha maisha yao. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Usi risk maisha kwa kuovertake kiholela.Subiri kidogo ili uone mbali. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Dere mnoma ni mwenya anajali maisha ya watoto wetu. Zingatia speed limits. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Cheza kama wewe lakini usioverdo. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Dere mnoma ni mwenya anajali maisha ya watoto wetu. Zingatia speed limits. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Watato wanakutegemea dere! Usihatarishe maisha yao kwa kuspeed. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Dere, Kumbuka Usalama wa abiria wako uko mikononi mwako.Zingatia speed limits.#DereSmart #Usalamabarabarani
Usihatarishe maisha ya yako na wengine. Kwa makini barabarani. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Kumbuka kuwa Speed limits are there to protect you and others. #DereSmart #Usalamabarabarani
Ni Jukumu la kila Dereva kuhakikisha abiria wanasafiri salama. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Ni Jukumu la kila Dereva kuhakikisha abiria wanasafiri salama. #DereSmart #UsalamaBarabarani
Children are unpredictable. Stay alert while driving near school zones. #Deresmart#UsalamaBarabarani
Familia inangoja ufike home poa. speeding isikuwe reason hautafika.#DriverSmar #Usalamabarabarani